Ephesians 5:20-22
20 asiku zote mkimshukuru Mungu Baba kwa kila jambo katika Jina la Bwana wetu Isa Al-Masihi. 21 bNyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Al-Masihi. Mafundisho Kuhusu Wake Na Waume
22 cNinyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana.
Copyright information for
SwhKC