Ephesians 5:22-24

22 aNinyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana. 23 bKwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama vile Al-Masihi alivyo kichwa cha Kanisa, ambalo ni mwili wake, naye Al-Masihi ni Mwokozi wake. 24 cBasi, kama vile Kanisa linavyomtii Al-Masihi, vivyo hivyo na wake nao imewapasa kuwatii waume zao kwa kila jambo.

Copyright information for SwhKC