Exodus 14:15-16

15 aNdipo Bwana akamwambia Musa, “Kwa nini wewe unanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele. 16 bInua fimbo yako na unyooshe mkono wako juu ya bahari ili kuyagawa maji, hivyo kwamba Waisraeli wapate kupita mahali pakavu baharini.
Copyright information for SwhKC