Exodus 15:22-24
22 aKisha Musa akawaongoza Israeli kutoka Bahari ya Shamu na kuingia katika Jangwa la Shuri. Kwa siku tatu walisafiri jangwani bila kupata maji. 23 bWalipofika Mara, hawakuweza kunywa maji yake kwa sababu yalikuwa machungu. (Ndiyo sababu mahali hapo panaitwa Mara ▼▼ Mara maana yake ni Chungu.
) 24 dKwa hiyo watu wakamnung’unikia Musa, wakisema, “Tunywe nini?”
Copyright information for
SwhKC