Exodus 19:18-19

18 aMlima Sinai ulikuwa umefunikwa na moshi, kwa sababu Bwana alishuka juu yake katika moto. Moshi wa moto huo ulipanda juu kama moshi kutoka kwenye tanuru kubwa na mlima wote ukatetemeka kwa nguvu nyingi, 19 bnayo sauti ya tarumbeta ikawa kubwa zaidi na zaidi. Kisha Musa akazungumza na sauti ya Bwana ikamjibu.

Copyright information for SwhKC