Exodus 20:17


17 aUsiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ng’ombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako.”

Watu Wanaogopa

(Kumbukumbu 5:22-33)

Copyright information for SwhKC