Exodus 24:15-16

15 aMusa alipopanda juu mlimani, wingu liliufunika huo mlima, 16 bnao utukufu wa Bwana ukatua juu ya Mlima Sinai. Kwa muda wa siku sita wingu lilifunika mlima, na siku ya saba Bwana akamwita Musa kutoka katikati ya lile wingu.
Copyright information for SwhKC