Exodus 29:45-46

45 aNdipo nitakapofanya makao miongoni mwa Waisraeli na kuwa Mungu wao. 46 bNao watajua kuwa Mimi Ndimi Bwana Mwenyezi Mungu wao, aliyewatoa Misri ili nipate kufanya makao miongoni mwao. Mimi Ndimi Bwana Mwenyezi Mungu wao.
Copyright information for SwhKC