Exodus 29:8-9

8 aWalete wanawe na uwavike makoti, 9 bpia uwavike zile tepe za kichwani. Ndipo uwafunge Haruni na wanawe mishipi. Ukuhani ni wao kwa agizo la kudumu. Kwa njia hii utamweka wakfu Haruni na wanawe.

Copyright information for SwhKC