‏ Exodus 30:2

2 aMadhabahu hayo yawe mraba, urefu na upana wake dhiraa moja, ▼
▼ Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45.
na kimo cha dhiraa mbili, ▼
▼ Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90.
nazo pembe zake zitakuwa kitu kimoja nayo.
Copyright information for SwhKC