Exodus 9:33
33
Kisha Musa akaondoka kwa Farao akaenda nje ya mji. Musa akanyoosha mikono yake kuelekea kwa
Bwana
, ngurumo na mvua ya mawe vikakoma, mvua haikuendelea tena kunyesha nchini.
Copyright information for
SwhKC