Ezra 2:69
69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000 ▼▼ Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500.
za dhahabu, mane 5,000 ▼▼ Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900.
za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo.
Copyright information for
SwhKC