Genesis 10:6-9

Wazao Wa Hamu


6 aWana wa Hamu walikuwa:
Kushi, Misri,
Yaani Misri .
Putu na Kanaani.

7 cWana wa Kushi walikuwa:
Seba, Havila Sabta, Raama na Sabteka.
Wana wa Raama walikuwa:
Sheba na Dedani.

8 dKushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani. 9 eAlikuwa mwindaji hodari mbele za Bwana. Ndiyo sababu watu husema, “Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za Bwana.”
Copyright information for SwhKC