‏ Genesis 2:7

7 a Bwana Mwenyezi Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi ▼
▼ Neno la Kiebrania la mavumbi ya ardhi ndilo kiini cha jina Adamu.
ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.

Copyright information for SwhKC