‏ Genesis 22:7

7 aIsaka akanena akamwambia Ibrahimu baba yake, “Baba yangu!”

Ibrahimu akaitika, “Mimi hapa, mwanangu.”

Isaka akasema, “Moto na kuni zipo, Je, yuko wapi mwana-kondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa?”

Copyright information for SwhKC