‏ Genesis 26:22

22Akaondoka huko, akachimba kisima kingine, wala hakuna yeyote aliyekigombania. Akakiita Rehobothi, ▼
▼ Rehobothi maana yake ni Mungu ametufanyia nafasi.
akisema, “Sasa Bwana ametufanyia nafasi, nasi tutastawi katika nchi.”

Copyright information for SwhKC