Genesis 30:13
13
Ndipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri.
▼
▼
Asheri maana yake Nimefurahi, yaani Mungu amenifurahisha.
Copyright information for
SwhKC