Genesis 49:22


22 “Yusufu ni mzabibu uzaao,
mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi,
ambao matawi yake hutanda ukutani.
Copyright information for SwhKC