‏ Genesis 6:8-9

8 aLakini Nuhu akapata kibali machoni pa Bwana.

9 bHivi ndivyo vizazi vya Nuhu.

Nuhu alikuwa mtu wa haki, na mkamilifu miongoni mwa watu wa wakati wake, tena alitembea na Mungu.
Copyright information for SwhKC