Hebrews 10:5-7
5 aKwa hiyo, Al-Masihi alipokuja duniani, alisema: “Dhabihu na sadaka hukuzitaka,bali mwili uliniandalia;
6 sadaka za kuteketezwa na za dhambi
hukupendezwa nazo.
7 bNdipo niliposema, ‘Mimi hapa, nimekuja,
imeandikwa kunihusu katika kitabu:
Nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu.’ ”
Copyright information for
SwhKC