Hebrews 12:5-6

5 aNanyi mmesahau yale maneno ya kuwaonya yanayowataja ninyi kuwa wana, yakisema: “Mwanangu, usidharau adhabu ya Bwana,
wala usikate tamaa akikukemea,

6 bkwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao,
na humwadhibu kila mmoja
anayemkubali kuwa mwana.”

Copyright information for SwhKC