Hebrews 3:13-15

13 aLakini mtiane moyo mtu na mwenzake kila siku, maadamu iitwapo Leo, ili asiwepo hata mmoja wenu mwenye kufanywa mgumu kwa udanganyifu wa dhambi. 14 bKwa kuwa tumekuwa washiriki wa Al-Masihi, kama tukishikamana tu kwa uthabiti na tumaini letu la kwanza hadi mwisho. 15 cKama ilivyonenwa: “Leo, kama mkiisikia sauti yake,
msiifanye mioyo yenu migumu
kama mlivyofanya wakati wa kuasi.”

Copyright information for SwhKC