Isaiah 10:25


25 aBado kitambo kidogo sana hasira yangu dhidi yenu itakoma,
na ghadhabu yangu itaelekezwa kwenye maangamizi yao.”

Copyright information for SwhKC