‏ Isaiah 17:8


8 aHawataziangalia tena madhabahu,
kazi za mikono yao,
nao hawataheshimu nguzo za Ashera, ▼
▼ Ashera hapa maana yake ni mungu mke aliyekuwa akiabudiwa pamoja na Baali.

na madhabahu za kufukizia uvumba zilizofanywa kwa mikono yao.

Copyright information for SwhKC