Isaiah 19:13


13 aMaafisa wa Soani wamekuwa wapumbavu,
viongozi wa Memfisi
Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu.
wamedanganyika,
walio mawe ya pembe ya taifa lake
wameipotosha Misri.
Copyright information for SwhKC