Isaiah 2:8


8 aNchi yao imejaa sanamu,
wanasujudia kazi za mikono yao,
vitu vile vidole vyao vimevitengeneza.
Copyright information for SwhKC