‏ Isaiah 23:1

Unabii Kuhusu Tiro

1 aNeno kuhusu Tiro: Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi!
Kwa kuwa Tiro imeangamizwa,
imeachwa bila nyumba wala bandari.
Kuanzia nchi ya Kitimu ▼
▼ Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania.

neno limewajia.

Copyright information for SwhKC