Isaiah 3:24


24 aBadala ya harufu ya manukato kutakuwa na uvundo;
badala ya mishipi, ni kamba;
badala ya nywele zilizotengenezwa vizuri, ni upara;
badala ya mavazi mazuri, ni nguo za magunia;
badala ya uzuri, ni alama ya aibu kwa chuma cha moto.
Copyright information for SwhKC