‏ Isaiah 33:8


8 aNjia kuu zimeachwa,
hakuna wasafiri barabarani.
Mkataba umevunjika,
mashahidi wake wamedharauliwa, ▼
▼ Au: miji yake imedharauliwa.

hakuna yeyote anayeheshimiwa.
Copyright information for SwhKC