‏ Isaiah 35:5-6


5 aNdipo macho ya vipofu yatafumbuliwa
na masikio ya viziwi yatazibuliwa.

6 bNdipo kilema atarukaruka kama kulungu,
nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe.
Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika,
na vijito katika jangwa.
Copyright information for SwhKC