Isaiah 41:29


29 aTazama, wote ni ubatili!
Matendo yao ni bure;
vinyago vyao ni upepo mtupu na machafuko.
Copyright information for SwhKC