Isaiah 41:4


4 aNi nani aliyefanya jambo hili na kulitimiliza,
akiita vizazi tangu mwanzo?
Mimi, Bwana, ni wa kwanza
nami nitakuwa pamoja na wa mwisho:
mimi Bwana ndiye.”

Copyright information for SwhKC