Isaiah 44:24

Yerusalemu Kukaliwa


24 a“Hili ndilo asemalo Bwana,
Mkombozi wako, aliyekuumba tumboni:

“Mimi ni Bwana,
niliyeumba vitu vyote,
niliyezitanda mbingu peke yangu,
niliyeitandaza nchi mwenyewe,

Copyright information for SwhKC