Isaiah 61:8


8 a“Kwa maana Mimi, Bwana, napenda haki,
na ninachukia unyang’anyi na uovu.
Katika uaminifu wangu nitawapa malipo yao
na kufanya agano la milele nao.
Copyright information for SwhKC