‏ Isaiah 7:20

20 aKatika siku ile Bwana atatumia wembe ulioajiriwa kutoka ng’ambo ya Mto, ▼
▼ Yaani Frati.
yaani mfalme wa Ashuru, kunyoa nywele za kichwa chako na malaika ya miguu yako, na kuziondoa ndevu zako pia.
Copyright information for SwhKC