Jeremiah 22:24

24 a“Hakika kama niishivyo,” asema Bwana, “hata kama wewe, Yekonia
Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini.
mwana wa Yehoyakimu
Yehoyakimu ni jina jingine la Yehoyakini.
mfalme wa Yuda, ungekuwa pete yangu ya muhuri katika mkono wangu wa kuume, bado ningekung’oa hapo.
Copyright information for SwhKC