Jeremiah 25:38


38 aKama simba ataacha pango lake,
nchi yao itakuwa ukiwa
kwa sababu ya upanga wa mdhalimu,
na kwa sababu ya hasira kali ya Bwana Mwenyezi Mungu.
Copyright information for SwhKC