Jeremiah 3:13


13 aUngama dhambi zako tu:
kwamba umemwasi Bwana Mwenyezi Mungu wako,
umetapanya wema wako kwa miungu ya kigeni
chini ya kila mti unaotanda,
nawe hukunitii mimi,’ ”
asema Bwana.

Copyright information for SwhKC