Jeremiah 42:20

20 akwamba mmefanya kosa kubwa mioyoni mwenu mliponituma kwa Bwana Mwenyezi Mungu wenu na kusema, ‘Mwombe Bwana Mwenyezi Mungu wetu kwa ajili yetu, nawe utuambie kila kitu atakachosema, nasi tutafanya.’
Copyright information for SwhKC