‏ Job 3:8


8 aWale wazilaanio siku wailaani hiyo siku,
wale walio tayari kumwamsha Lewiathani. ▼
▼ Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa.

Copyright information for SwhKC