Joel 1:5


5 aAmkeni, enyi walevi, mlie!
Pigeni yowe enyi wanywaji wote wa mvinyo,
pigeni yowe kwa sababu ya mvinyo mpya,
kwa kuwa mmenyang’anywa
kutoka midomoni mwenu.
Copyright information for SwhKC