Joel 2:14


14 aNi nani ajuaye? Yeye aweza kugeuka na kuwa na huruma
na kuacha baraka nyuma yake:
sadaka za nafaka na sadaka za vinywaji
kwa ajili ya Bwana Mwenyezi Mungu wenu.

Copyright information for SwhKC