John 1:42

42 aNaye akamleta kwa Isa.

Isa akamwangalia na kusema, “Wewe ni Simoni mwana wa Yohana. Utaitwa Kefa” (ambalo limetafsiriwa Petro
Petro kwa Kiyunani au Kefa kwa Kiaramu; maana yake ni Kipande cha mwamba.
).

Isa Awaita Filipo Na Nathanaeli

Copyright information for SwhKC