John 14:1

Isa Awatia Moyo Wanafunzi Wake

1 aIsa akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu, niaminini na mimi pia.
Copyright information for SwhKC