John 8:20

20 aIsa alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika chumba cha hazina Hekaluni. Lakini hakuna mtu aliyemkamata kwa kuwa saa yake ilikuwa haijawadia.

Isa Atabiri Kifo Chake Mwenyewe

Copyright information for SwhKC