‏ Jonah 2:2

2 aAkasema: “Katika shida yangu nalimwita Bwana,
naye akanijibu.
Kutoka kina cha kaburi ▼
▼ Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.
niliomba msaada,
nawe ukasikiliza kilio changu.
Copyright information for SwhKC