Joshua 1:1-2

Bwana Anamwagiza Yoshua

1 aBaada ya kifo cha Musa mtumishi wa Bwana, Bwana akamwambia Yoshua mwana wa Nuni, msaidizi wa Musa: 2 b“Mtumishi wangu Musa amekufa. Sasa basi, wewe pamoja na watu wote hawa, jiandaeni kuvuka huu Mto Yordani kuingia nchi ambayo karibu nitawapa wana wa Israeli.
Copyright information for SwhKC