Joshua 12:24

24
In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Yos 12:8-Yos 12:24.
bnchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi):

cv cmfalme wa Yeriko mmoja
mfalme wa Ai (karibu na Betheli) mmoja
cv dmfalme wa Yerusalemu mmoja
mfalme wa Hebroni mmoja
cv emfalme wa Yarmuthi mmoja
mfalme wa Lakishi mmoja
cv fmfalme wa Egloni mmoja
mfalme wa Gezeri mmoja
cv mfalme wa Debiri mmoja
mfalme wa Gederi mmoja
cv gmfalme wa Horma mmoja
mfalme wa Aradi mmoja
cv hmfalme wa Libna mmoja
mfalme wa Adulamu mmoja
cv imfalme wa Makeda mmoja
mfalme wa Betheli mmoja
cv jmfalme wa Tapua mmoja
mfalme wa Heferi mmoja
cv kmfalme wa Afeki mmoja
mfalme wa Lasharoni mmoja
cv lmfalme wa Madoni mmoja
mfalme wa Hazori mmoja
cv mmfalme wa Shimron-Meroni mmoja
mfalme wa Akishafu mmoja
cv nmfalme wa Taanaki mmoja
mfalme wa Megido mmoja
cv omfalme wa Kedeshi mmoja
mfalme wa Yokneamu katika Karmeli mmoja
cv pmfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori)
Au: katika miinuko ya Nafoth-Dori.
mmoja
mfalme wa Goimu katika Gilgali mmoja
cv rmfalme wa Tirsa mmoja

wafalme jumla yao ilikuwa thelathini na mmoja.
Copyright information for SwhKC