Joshua 14:2

2 aUrithi wao uligawanywa kwa kura kwa yale makabila tisa na nusu, kama Bwana alivyoamuru Musa.
Copyright information for SwhKC