‏ Joshua 16:3-5

3 aukateremkia kuelekea magharibi hadi eneo la Wayafleti ukienea hadi eneo la Beth-Horoni ya Chini hadi Gezeri, ukiishia baharini.

4 bKwa hiyo Manase na Efraimu, wazao wa Yusufu, walipokea urithi wao.

5 cHili ndiyo lilikuwa eneo la Efraimu, ukoo kwa ukoo: Mpaka wa urithi wao ulianzia Ataroth-Adari upande wa mashariki hadi Beth-Horoni ya Juu,
Copyright information for SwhKC